Wednesday, 1 July 2015

BOONGE LA SURPRISE KWA KALALA Jr TOKA KWA MKEWE SIKU YA BIRTHDAY

Muonekano wa eneo la shughuli

Muna Alphonce mke wa mwimbaji wa muziki wa dansi nchini Kalala Junior.Katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa mumewe"Kalala Jr,Muna amemfanyia suprise ya birthday mume wake kwenye hoteli ya hadhi ya nyota tano,Huku Mc wa shuhuri hiyo akiwa ni Mtangazaji Maimartha wa Jesse wageni waalikwa wakiwa Mastaa tofauti akiwemo Muigizaji mrembo Lulu Michael .
Kalala Jr na Mkewe Muna Alphonce.
Muna Alphonce mke wa Kalala Jr.

Kalala Jr na Mwanae.

No comments: