Wednesday, 1 July 2015

PICHA:-GARDER G HABASH AJIACHIA NA MWANAE.


Mtangazaji wa Radio EFM ya jijini Dar es salaam,Captain Gadner.G. Habash mume wa zamani wa mwanadada mbongo fleva Lady J Dee amejiSelfie akiwa Faragha na mtoto mbichi wakila ujana.Binti huyo aliyetambulishwa kwenye Picha hiyo kwa mbali, umbo lake linaonyesha ni kigoli wa haja mwenye kifua saa sita.Baada ya mke wake kukimbia nyumba pasipo talaka wala kuaga Garder ameonekana kujiachia na kuangalia mbele kimaisha.

No comments: