Friday, 10 July 2015

BREAKING NEWS : LOWASA APETA KAMATI YA MAADILI, MEMBE MAKONGORO RAMADHANI HATI HATI

Mh,Edward Ngoyai Lowassa na Mkewe.

Kwa taarifa za ndani kutoka ndani ya kikao cha Maadili kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta katika kikao hicho kwa urahisi ni pamoja na Edward Lowassa, Ghalib Bilal na Asha Rose Migiro.
Makada walio kutana na kikwazo kwenye kamati ya Maadili ni pamoja na Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa bila kificho mkoa kwa mkoa,
Wagombea hao ni Bernad Membe , January Makamba , Mwigulu Nchemba, Samweli Sitta, Makongoro Nyerere, Jaji Ramadhan na Magufuli.
Aidha Mwenyekiti wa Chama Amekuwa mkali kuliko matarajio ya wajumbe walivyo dhani kuwa itakuwa, Nape na Mang'ula wameonekana kuwa wapole mpaka sasa kwani report ya usalama na TAKUKURU inaonyesha kuwatisha na kuwatia Simanzi kinyume na Matarajio kwa mgombea wao. 


NB:-Hii hapa ni taarifa ya usalama wa taifa na Takukuru inayowahusu wagombea waliotumia mlungula kujipatia wadhamini nchi nzima,
 Taarifa hii ni kwa hisani ya Karama Kaila {Facebook}

No comments: