![]() |
| Katibu wa idara ya itikadi na uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye |
Angalia kipande cha Video fupi hapo chini,
Katibu wa idara ya itikadi na uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye awakaribisha rasmi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Utaweza kutazama Mkutano mkuu wa chama moja kwa moja siku ya jumamosi tarehe 11 Julai 2015 kupitia tovuti ya www.uchaguziccm2015.com. Fuatilia kurasa zetu za Twitter (@CCM_Tanzania), Instagram (@CCMTanzania), pamoja na Youtube (ChamaChaMapinduzi) ili kupata taarifa rasmi na zenye uhakika.UMOJA NI USHINDI !#KaribuDodoma
Posted by CCM Tanzania on Friday, July 10, 2015

No comments:
Post a Comment