RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
A photo posted by CELEB AFRICA TV (@celebafricatv) on Jul 18, 2015 at 7:44pm PDT
Nakumbuka mwaka 2010 Tulikuwa tunatoka Nigeria kwenye Tunzo hizihizi za MTVMama na Mwanangu @bdozen tukiwa Wanyonge bila Chochote Mkonono..Leo hii tunarudi Nyumbani na Tunzo mkononi.. Alhamdulilah🙏...Hakika kila kitu ni Subra na Katika Maisha kamwe Hutakiwi Kukata tamaa.. Asante sana Wadau na Mashabiki zetu..tuko njiani sasa kurudi Nyumbani saa kumi na mbili na robo ya jioni ya leo ntakuwa airport ya Kipawa🙏 Cc @bdozen A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on Jul 19, 2015 at 1:20am PDT
Nakumbuka mwaka 2010 Tulikuwa tunatoka Nigeria kwenye Tunzo hizihizi za MTVMama na Mwanangu @bdozen tukiwa Wanyonge bila Chochote Mkonono..Leo hii tunarudi Nyumbani na Tunzo mkononi.. Alhamdulilah🙏...Hakika kila kitu ni Subra na Katika Maisha kamwe Hutakiwi Kukata tamaa.. Asante sana Wadau na Mashabiki zetu..tuko njiani sasa kurudi Nyumbani saa kumi na mbili na robo ya jioni ya leo ntakuwa airport ya Kipawa🙏 Cc @bdozen
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on Jul 19, 2015 at 1:20am PDT
Unatumia muda mwingi kuwekeza kwenye muziki wako...na siku Zote Google haliongopiiiiiiiiiiiiii...daaaah @diamondplatnumz uko mbali sanaaaa toka diamond Yule wa kamwambie na diamond huyu wa MtvMama2015 ..kiukweli umewanyoosha na umeleta HESHIMA EAST AFRICA....wasanii wengine hili somo kwenu sasa milango ya kimataifa imefunguka tuondoe bifu zisio na tija tukaongeze waperusha bendera wengine ...next time.. @salaam_sk @babutale @mkubwafella Hongereniiiii kazi nzuri sanaaaa..... Kikwete alisema mpira unatupa.....bora muziki unatufarijiiiiii. A photo posted by l (@lemutuz_nation) on Jul 19, 2015 at 12:12am PDT
Unatumia muda mwingi kuwekeza kwenye muziki wako...na siku Zote Google haliongopiiiiiiiiiiiiii...daaaah @diamondplatnumz uko mbali sanaaaa toka diamond Yule wa kamwambie na diamond huyu wa MtvMama2015 ..kiukweli umewanyoosha na umeleta HESHIMA EAST AFRICA....wasanii wengine hili somo kwenu sasa milango ya kimataifa imefunguka tuondoe bifu zisio na tija tukaongeze waperusha bendera wengine ...next time.. @salaam_sk @babutale @mkubwafella Hongereniiiii kazi nzuri sanaaaa..... Kikwete alisema mpira unatupa.....bora muziki unatufarijiiiiii.
A photo posted by l (@lemutuz_nation) on Jul 19, 2015 at 12:12am PDT
Shukran Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote #TeamWasafi kwa kunipigia kura na Kuhamasisha kwa Nguvu...Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani...lakini pia Shukrani za kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi anayonipa kila siku juu ya Dunia....na Shukran tena za kipekee na aina yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa raha na Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M'bunifu kwenye kazi..🙏 #BestLiveAct #Mtvmama2015 Asanteni sana 🙏 A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on Jul 18, 2015 at 5:46pm PDT
Shukran Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote #TeamWasafi kwa kunipigia kura na Kuhamasisha kwa Nguvu...Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani...lakini pia Shukrani za kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi anayonipa kila siku juu ya Dunia....na Shukran tena za kipekee na aina yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa raha na Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M'bunifu kwenye kazi..🙏 #BestLiveAct #Mtvmama2015 Asanteni sana 🙏
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on Jul 18, 2015 at 5:46pm PDT
A video posted by VeeMoney (@vanessamdee) on Jul 18, 2015 at 12:52pm PDT
Post a Comment
No comments:
Post a Comment