Saturday, 18 July 2015

Video Diamond kwenye press ya MTV Awards 2015 Jana-Durban South Africa.

Kwenye Press conference jana Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali wanaohusika kwenye tuzo hizi akiwemo Diamond Platnumz, Neyo, P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.

No comments: