Saturday, 11 July 2015

HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YATANGAZA TATU BORA.

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015.

                                                             #KaribuDodoma
                                                        UMOJA NI USHINDI!

No comments: