![]() |
| Makongoro Nyerere. |
HUU HAPA UJUMBE ALIOUANDIKA KUPITIA PAGE YAKE YA FACEBOOK,
KUFUATIA MATOKEO YA MKUTANO MKUU WA CCM 2015 ULIOMCHAGUA Bw,JOHN POMBE MAGUFULI KUKIWAKILISHA CHAMA HICHO KWENYE KUGOMBEA KITI CHA URAIS 2015,
MCHAKATO HUO UMEPELEKEA KWA Bw,MAKONGORO NYERERE KUWEKA NIA UPYA KUGOMBEA KITI CHA UBUNGE KATIKA SERIKALI IJAYO,
KATIKA HILO Bw,MAKONGORO NYERERE AMEWAOMBA WANANCHI KUMSHAURI KATI YA MAJIMBO MAWILI LA KAWE AMA ARUSHA MJINI NI LIPI INAFAA AGOMBEE KWENYE UCHAGUZI MKUU 2015,
- Nimeshauriwa na wananchi na wanaCCM nigombee Ubunge... naomba ushauri wenu nigombee Jimbo la Kawe au Arusha mjini.Tafadhari naomba tusaidiane kutafakari.
- Primi Pascal Mosile Nyumbani Butiama nadhani patakufaa zaidi, Arusha na Kawe kuna upinzani mkubwa sana hivyo nyumbani ulipozaliwa patakupa heshima kubwa zaidi kwako Mheshimiwa.
- Sigfred Kimasa Butiama ndio kwenyewe!
- Sixbert Msambichaka Njoo ukawa ugombee Butiama
Julius Kalanga Nenda butiama kwako
Acha kuwaharibia wenzio
Au umeaharibu kwanu
Acha kuwaharibia wenzio
Au umeaharibu kwanu





No comments:
Post a Comment