![]() |
| Ramadhan Masanja"Banza Stone" |
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
kabla ya umauti Banza Stone alikuwa ni mmoja kati ya Wanamuziki wanaounda kundi la Extra Bongo la jijini Dar es salaam,
BREAKING NEWS: Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama 'Banza stone' amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde
— East Africa TV (@eastafricatv) July 17, 2015
![]() |
| Aliyekuwa Rais wa Extra Bongo Ally Choki akimkaribisha Banza Stone. |
| Banza Stone enzi za Uhai wake. |
#MAZIKO:
Mwanamuziki Ramadhan Masanja 'Banza Stone' anatarajiwa kuzikwa kesho saa 10 jioni katika Makaburi ya Sinza, Dar. Kaka wa maerehemu aitwaye Hamis ameeleza.
NB:-MOJA YA MAHOJIANO ALIYOWAHI KUFANYA BANZA STONE ENZI ZA UHAI WAKE:-


No comments:
Post a Comment