Tuesday, 28 July 2015

TWEET YA RAIS KIKWETE MARA BAADA YA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA

Mwaka 2015 ni mwaka wa historia kwa Nchi yetu Tanzania.Yapo Mambo mengi yamefanyika ndani ya mwaka huu.
Gumzo Kubwa ni Siasa ya Tanzania.Mwezi October Mwaka Huu Tanzania Tutafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mchakato unaoendelea ni uteuzi ndani ya Vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi huo.
Aliyekuwa Kada wa CCM  Mh Edward Lowassa amekuwa Gumzo mara baada ya kuenguliwa kupeperusha Bendera ya CCM Mwaka huu.Na Tetesi za yeye kuhamia Chadema zimeshika hatamu.Mara baada ya Jana kukaribishwa na vyama vya upinzani kupitia Umoja wao ukawa,
leo Rais Kikwete Ali Tweet dongo kuhusiana na hilo ,
Na Hii ndio tweet yake

No comments: