Monday, 13 July 2015

UKAWA WAUBEZA UTEUZI WA MAGUFULI KUIWAKILISHA CCM UCHAGUZI MKUU 2015.

Wakati Chama tawala {CCM} kikiwa kimempitisha Dk. John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu, 
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema, mgombea huyo hana uwezo kukabiliana nao kwa kuwa hata jimboni kwake wamempita kwa idadi ya viti vya uongozi katika mitaa, vitongoji na udiwani. 
Source: NIPASHE

No comments: