Kufuatia taarifa zinazoendelea kuzagaa mitandaoni juu ya kifo cha Dr,Joseph Elieza Chilongani mgombea kiti cha ubunge Wilayani Kongwa{Dodoma},aliyepigwa na Naibu Spika Job Ndugai jana kwenye kikao cha kampeni za Ubunge jimboni humo ndani ya CCM ni uzushi,
Taarifa zilizotolewa na ndugu wa mgonjwa Bw,Frank Joseph Msaki kupitia Acc yake ya Facebook zimethibitisha kuendelea vyema kwa afya ya Dr,Joseph Elieza Chilongani,
just in:
Dr. Joseph Elieza Chilongani ambaye ni mmoja wa watangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kongwa, kuwa amekufa ni za uongo kwani muda mchache tu uliopita mgonjwa huyo alishiriki chakula cha mchana vizuri.
"Muda wa mchana amekula chakula vizuri tu kwahiyo hizo taarifa zinazoenezwa juu ya kifo chake ni za uzushi dhidi ya ndugu yetu Joseph" alieleza Katibu huyo.

HABARI - JULY.30.2015 | STAR TVHali Ya Dk. Joseph Chilongani anayedaiwa kupigwa na Naibu Spika Mhe. Ndugai anaendelea na matibabu katika hospitalia ya Kongwa.
Posted by Simu.TV on Thursday, July 30, 2015

No comments:
Post a Comment