Wednesday, 19 August 2015

Beef kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz imekwisha?

Picha ambayo imesambaa kwenye mitandao tofauti inamuonyesha tour manager wa Diamond Platnumz ‘Salam’ akiwa na Ali Kiba, kwenye picha hii tunamuona Neyo kwa mbaali na inaonekana ilipigwa wakati Ali Kiba akiwa Nairobi kwaajili ya Coke studio atakapo fanya wimbo na Neyo.
Kwa jinsi hii tunaona mafanikio makubwa ya kuisha kwa minong'ono ya Beef kati ya wakali hawa wawili nchini Tanzania,ambao wamefikia kujenga kuta kubwa mbili katika Muziki wa Bongo Flava,Muziki ambao umekuwa Ajira binafsi kwa vijana wengi wakitanzania.

No comments: