Mpaka sasa CCM imepita bila kupingwa katika Majimbo 5 ya Ubunge. Majimbo hayo ni Ludewa, Mlalo, Bumbuli, Peramiho na Nanyamba
-Waliwawekea mapingamizi wagombea wa Upinzani
Mpaka sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo yafuatayo
1.LUDEWA (Filikunjombe)
2.MLALO
3.BUMBULI (January Makamba), inasubiria rufaa ya NEC iliyokatwa na mgombea wa CHADEMA
4.PERAMIHO (Jenesta Mhagama)
5.NANYAMBA
Kwa lugha nyingine wagombea wa CCM majimbo tajwa hapo juu wanasubiri kura ya ndio au hapana na kuapishwa since they are only option available,,,mpaka sasa tayari CCM ina mtaji wa majimbo matano kibindoni.
Lakini pia kuna kata kadhaa ambazo tayari CCM (labda na UKAWA) imeshapita bila kupingwa,hivvyo unaweza kushare kinachoendelea jimboni kwako au kwenye kata yako kama CCM au UKAWA wanepita bila kupingwa kwa kucomment Kwenye Page yetu>>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo
Tutaendelea kujuzana majimbo yatakayoendelea kuthibitishwa na CCM pamoja na UKAWA.
Akhsanteni.

No comments:
Post a Comment