![]() |
| Waziri wa Zamani wa mambo ya Ndani Mh. Laurance Masha |
-Anashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani Laurence Masha amefikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam mchana huu baada ya kushikiliwa
jana alipofika kituo cha polisi Oysterbay kutoa dhamana kwa baadhi ya
wanafunzi waliokamatwa kwa kosa la mkusanyiko usiokuwa na kibali.
Mbele ya Hakimu mkazi kisutu Emilius mchauri, wanafunzi hao 19 wamesomewa shtaka la kukusanyika kwa lengo la kutaka kuandamana bila kibali .Watuhumiwa hao wamekana shtaka na dhamana yao iko wazi .
Kwa upande wa Bw.LAURENCE MASHA shtaka lake ndilo linasomwa wakati huu ingawa kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni anatuhumiwa kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kituo cha polisi .Pamoja na kuzuia Polisi kutimiza majukumu yake{Obstruction of Justice} Watuhumiwa wote wa chadema wanatetewa na wakili PETER KIBATALA.

No comments:
Post a Comment