![]() |
| Afisa habari wa Chadema, Tumaini Makene |
Afisa habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema Jeshi la polisi haliwezi kuwapangia nini cha kufanya. Wataendelea kufanya mikakati yao watakayoipanga ili mradi hawavunji sheria za nchi na sheria za uchaguzi.
Source-EATV

No comments:
Post a Comment