Msanii mahiri toka Tanzania Diamond Platnumz,aliyeamua kufungua Studio {Wasafi Records}kwa ajili ya kuwasaidia wasanii wachanga na wenye vipaji,walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na kipato,
Ameipa baraka studio hiyo anayoimiliki kwa kuachia Ngoma yake ya kwanza akiwa ndani ya Studio hizo zilizopo Sinza jijini Dar es salaam,
Jana usiku nlitembelea Wasafi Records kuikagua na kuthibitisha kama kweli vijana washaanza kecordiwa nikakuta Nyimbo zaidi ya Nane zimesharecordiwa... ikabidi nami kwa Mara ya Kwanza nijaribu kutia Barka zangu... Studio Iko Sinza Mori kama unaamini kweli unakipaji, fika sasa Utarikodiwa Bure kabisa!!!
NB:-ISIKILIZE NGOMA HIYO HAPO CHINI,

Posted by Diamond Platnumz on Tuesday, August 4, 2015

No comments:
Post a Comment