Tuesday, 4 August 2015

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA LOWASSA NA MGOMBEA MWENZA HAJI DUNI KWA KISHINDO

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Kanda zote zimesema kura ya NDIYO kwa Mh. Edward Lowassa hakuna kanda iliyosema HAPANA, huku wakishangilia Rais Rais

Kanda ya Kaskazini,Kanda ya kati, Kanda ya Magharibi,Kanda ya Kusini na nyingine zote wamesema NDIYO kwa Haji Duni hakuna HAPANA

No comments: