Wednesday, 12 August 2015

Dr,SLAA AJIPANGA....

Dr,Willbrord Slaa.
Kupitia ukurasa wake wa Tweeter aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema bwana Willbrord Slaa amefunguka msimamo wake kwa sasa hii ni baada ya kukaa kimya toka ilipotangazwa kujiengua katika shughuli zake za ukatibu katika chama hicho.
Hizi ni Tweet za Dr Slaa baada ya kukaa kimya kwa muda sasa kabla ya kuongelea mbele ya Wanahabari hatma yake na Chadema kisiasa.

No comments: