Weekend iliyopita ndugu na marafiki wa karibu wa Flavy walikusanyika nyumbani alikozaliwa na kukulia mrembo huyo mkoani Shinyanga, katika ‘Send-off’ yake iliyofanyika katika hotel ya Vigimark.
Umebaki muda mfupi kabla status ya mwanamitindo huyu wa kimataifa Flaviana Matata kubadilika kuwa Mrs.
 |
| Aina ya Gauni alilolivaa Mwanamitindo Flaviana Matata siku ya Send Off yake. |
 |
| Watangazaji B12{BDozen} na Shadee toka Clouds Media ni moja ya waliohudhuria shughuli hiyo. |
|
|
Flavy ambaye hufanyia shughuli zake nchini Marekani kwa sasa, alivishwa pete ya uchumba na mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtanzania mwezi November 2014.
Hizi ni baadhi ya picha za Send-off
No comments:
Post a Comment