Monday, 24 August 2015

LOWASSA AGEUZA HISIA ZA WABONGO KWA KUPANDA DALADALA.

LOWASSA ANA MBINU BALAA WAKATI JANA CCM WAKIPIGA KELELE MAJUNGU HADI MATUSI ILI WATENGENEZE HABARI MZEE NGOYAI LEO KAWAJIBU KWAVITENDO KWA KUAMKA ASUBUHI NA KWENDA GONGO LA MBOTO KWA USAFIRI WA DALADALA HIVYO KUBADILI HISIA ZA WABONGO HUKU VYOMBO VYA HABARI VIKIZUNGUMZIA LOWASSA KUPANDA DALADALA NA SIO MKUTANO WA CCM 
"lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 
 ðŸ˜ƒðŸ˜ƒðŸ˜ƒðŸ˜ƒ kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa.....Haaaaaaah Xoxo Fun.

Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi picha.

No comments: