![]() |
| ndg. Said Nkumba |
Tukumbuke kuwa Nkumba alijiunga CHADEMA wakati tayari kura za maoni CHADEMA zimeshapigwa na mshindi wa Kwanza hadi wa tatu kupatikana. Bwana Nkumba ameonekana kuteuliwa bila hata kuchukua form haliiliyozua nintofahamu.
Mda mchache katika taarifa ya habari iliyorushwa cloudstv imeonyesha wanachama wa chadema wakiandamana kupinga uteuzi wake.....

No comments:
Post a Comment