Msanii Barakah Da Prince ameonekana Airport na mmoja wa wafanyakazi wa uwanja wa Ndege{JKNI} akiwa na Agnes Masogange mida ya saa 1 usiku.
Alipohojiwa Barakah alidai ni kweli alikuwa airport kumsindikiza mtu lakini hakutaka kumtaja jina, anasema ni kweli Masogange alikuwa akisafiri, lakini yeye alikua na mambo yake mengine.
Pamoja na kubanwa maswali sana Barakah amesema anamkubali sana Masogange hasa kwenye kufanya Video, lakini ni rafiki yake tu hakuna kitu kingine kinachoendelea kati yao.
Msikilize Barakah Da Prince akizungumza

No comments:
Post a Comment