Wednesday, 19 August 2015

PICHA:-KUMBE MENNINAH AMEOLEWA NA MTOTO WA Prof,MUHONGO JIONEE HAPA...

Familia ya Profesa Muhongo ikiwa pamoja na familia ya Meninah

 Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya Menninah kwa mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na kuwa Abdulkarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni muislamu.
Wawili hao walifunga ndoa huko Kigamboni wikiendi iliyopita. Japo taarifa hazijasema chochote kuhusu ndoa hiyo zaidi ya picha zinazoashiria ndoa yao,
Meninah ameandika kwenye Instagram:
"Usichague msichana ambaye ni mzuri duniani, chagua anayekupa furaha duniani, maisha ni mafupi na huwezi jua kesho kuna nini, fanya mazuri, asante Mungu kwa kila njia ninayopitia, nazidi kukumbuka kwa kubadilisha maisha yangu na kutumaini milele"

No comments: