Tuesday, 22 September 2015

DIAMOND NA ZARI WAWASHUKURU FANS WAO BAADA YA MTOTO WAO "TIFFAH PLATNUMZ"KUTIMIZA AROBAINI.

Page Liked · 17 hrs ·
 

Kwa niaba ya Familia Nzima naomba niwashkuru wote Mliokuja ama kufanikisha kwa namna moja ama nyingine 40 ya Binti yetu @princess_tiffah jana ... kiukweli tulitamani wote Muhudhulie ili kwa pamoja muweze kufurahi na Binti yenu pendwa, lakini kutokana na Ufinyu ya Sehem ilitubidi tuwe na wawakilishi wachache tu... Mategemeo yetu mliokuwepo mlifurahi na pale ambapo Mliona tulikosea tunaomba mtusameh maana sisi ni Binadama Hatujakamilika....Shukran


Have you thanked God today, He loves you and cares for you and has a bigger plan for your life. We thank God for the 2 weeks we've made today and looking forward to many more blessed weeks, months and finally years ahead. Stay blessed and good nyt to you all😘

No comments: