Thursday, 3 September 2015

ASKOFU KILAINI AMVAA DR SLAA KUHUSU MAASKOFU KUHONGWA NA LOWASSA

Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini
Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonyesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.
Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.

No comments: