Nigeria super staa Davido amethibitisha kuwa amefanya wimbo mmoja na rapa kutoka Tanzania Joh Makini.
Kupitia twitter yake Davido aliweka wazi usiku wa September 18 kuwa amefanya collabo na Joh Makini.
Bado haijajulikna kama ni wimbo wa Davido au Joh Makini. Joh tayari ana collabo na rapa Aka wa Afrika kusini na yupo kwenye maongezi ya kazi mpya na rapa K.O.

No comments:
Post a Comment