Monday, 21 September 2015

Rick Ross amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Lira.

Rapa Rick Ross ’39’ ameonyesha Ganstar Love baada ya kumvalisha pete mpenzi wake wa muda mrefu Lira Mercer aka Lira Galore ’21’ .
Lira ameonyesha watu wake kupitia mtandao wa Snapchat na Twitter pete aliyovalishwa na Rozay na kuandika ‘YES’, When Its Real’ You Just Know’.
Lira ni Model na alianza kutoka na Rick Ross mwanzoni mwa mwaka huu.

                              PICHA MUONEKANO WA MREMBO LIRA MERC..........
NB:-HIZI NI TWEET ALIZOPOST KUASHIRIA TUKIO HILO,ZIANGALIE HAPO CHINI.....



No comments: