Thursday, 3 September 2015

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-2015 BONGO KUFUNGWA CAMERA ZA CCTV KUZUIA UHALIFU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete, amesema serikali itafunga kamera za CCTV kwenye miji mikuu ili kukabiliana na wahalifu nchini.

No comments: