Wiki hii Mwanamuziki T-Pain aliwadhihirishia mashabiki wake kwamba yeye ni mzuri wa kuimba hata bila auto-tune kama alivyozoeleka kwenye nyimbo zake.
T-Pain alikaribishwa kuimba wimbo wa taifa la Marekani wakati wa mechi ya maveterani mchezo wa mpira wa magongo jijini Los Angeles,jumanne ya septemba 1.
Baada ya kuimba wimbo huo umati wa watu waliofika kushuhudia mpambano huo walimshangilia kwa sauti ya juu kwani T-Pain alionyesha uwezo mkubwa wa kuimba na kuonyesha kwamba yeye ni mbaya wa kuimba hata bila ya Auto-Tune.
No comments:
Post a Comment