Monday, 14 September 2015

MANENO MAZITO ALIYOSEMA DOGO ASLAY BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI.

Msanii Aslay na Marehemu Mama yake.
Wiki iliyokwisha haikuwa nzuri kwa Msanii Kiongozi wa Kundi la Yamoto Band,"Aslay Isihaka"-Dogo Aslay baada ya kufiwa na mama yake mzazi taarifa zilizopokewa kwa huzuni na wasanii wenzake pamoja na wapenzi wa muziki kwa ujumla.
Kupitia Acc yake ya Instagram Aslay alishare wakati huu mgumu kwake anaoupitia,kwa kujaribu kuwaonyesha wapenzi na marafiki zake wa karibu,Machungu yaliyondani mwake.

Ninavyokupenda Mama Daah Anayejua Ni Mungu Tu Nitakukumbuka Siku Zote Za Maisha Yangu

A photo posted by Aslay (@aslayisihaka) on

2 comments:

Najma said...

Hey aslay! I know that you dont know me, but am your fan, I love all of your songs, I always listen to your songs, okay bye, goodnight and happy birthday to you and your girlfriend.

Unknown said...

I like your Song Angekuona Aslay big up!!..