Monday, 14 September 2015

MFAHAMU MPAMBE WA AMBER ROSE AMBAYE NI JIKE DUME.


The Banji mpambe wa Amber Rose ambaye ni Tom boy kibongobongo maarufu kama jike dume,kazi yake ni kuhakikisha kila alipo star huyo{Amber Rose}  ni kuhakikisha mdada huyo amekaa sawa kimavazi na kimuonekano.
Ajabu zaidi ni kwa jamaa huyu "The Banji" nikampeni yake iitwayo "Tom Boy We Exist" Kampeni mahsusi aliyoianzisha kwa ajili ya kuwatetea majike dume hao katika jamii.

No comments: