Monday, 14 September 2015

MGOMBEA UBUNGE-UKAWA{LUSHOTO}AFARIKI DUNIA KWA AJALI.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Lushoto mkoani Tanga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo{Chadema}.Bwana Mohamed Mtoi Kanyawana, amefariki dunia kwa ajali ya gari siku ya jumamosi ya Juzi 12/09/2015 wakati akitokea kwenye kampeni..
Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana

                         MWENYEZI MUNGU AMPUZISHE KWA AMANI..
                           POLENI WAFIWA WOTE KWA MSIBA HUU......
                         TUPO PAMOJA KATIKA MAOMBOLEZO HAYA...

                         ITIKADI ZA VYAMA TUNAZIWEKA PEMBENI....

No comments: