Tuesday, 22 September 2015

Picha: Muonekano Jinsi msanii Nazizi alivyopungua.

Msanii mkongwe wa Kenya, Naziz amepungua kwa kiasi kikubwa tofauti na alivyokua miezi michache nyuma.
Haitoshangaza sana kusikia amepungua kwasababu ya juhudi anazozionyesha kwenye kubadili muonekano wake, lakini itakushangaza kuona jinsi alivyopungua, ni zaidi ya mategemeo ya wengi wetu.
                        Muonekano wa Nazizi alivyokuwa awali na sasa katika picha.........

Naziz ameweka picha yake hii akiwa ameshika suruali iliyokua akiivaa nakumfit vizuri kabisa kabla ya kupungua.

No comments: