Sunday, 18 October 2015

ALICHOANDIKA Mh,JERRY SILAA BAADA YA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI CAPT W.SILAA ALIYEFARIKI PAMOJA NA Mh,DEO FILIKUNJOMBE KWENYE AJALI YA CHOPA{HELIKOPTA}

Mh,Jerry Silaa{mwenye Shati la Kitenge} na Baba yake Marehemu Capt,William Silaa aliyekuwa Rubani wa chopa iliyopoteza Maisha yake pamoja na Mh,Deo Filikunjombe mgombea Ubunge wa Wilaya ya Ludewa/Mbeya.

Namshukuru Mungu kwa miaka alonipa ukanilea vizuri na kunisomesha...
Ningetamani angenipa zaidi nikulee pia.
Lakini kazi ya Mungu haina makosa.
Nenda kwa Amani Baba.....
Ulipenda sana Helicopter. Imeenda nawe.
Nakuombea mapumziko ya Amani.
JS

No comments: