![]() |
| Mh,Halima Mdee. |
Katika Uchaguzi Mkuu 2015 ngazi ya Ubunge jimbo hili limewakutanisha wabunge wawili waliovutana kwa upinzani mkali KIPPI WARIOBA{CCM} na HALIMA MDEE{CHADEMA}hadi kuweka kuta mbili kubwa kwa wananchi walio ndani ya jimbo hili,
Baada ya kuhesabu kura zoezi lililodumu kwa Takribani siku mbili ambapo leo mchana Matokeo ya Jimbo hilo yamepatikana yakisubiriwa kutangazwa rasmi na tume....
Kupitia Wanahabari wetu walioko eneo la Tukio,matokeo yanaonekana kumuendea vyema mwanadada HALIMA MDEE {Mb}anayelitetea Jimbo hilo kwa kuibuka kidedea katika Jimbo hilo.
NB:-Matokeo HAYA yanathibitishwa rasmi na Bw,KIPPI WARIOBA mpinzani wa HALIMA MDEE kwenye kinyang'anyiro hicho kwa TAARIFA yake kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK akikiri kushindwa kwenye kinyang'anyiro hicho......



No comments:
Post a Comment