Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetoa matokeo ya uchaguzi wa rais ambayo
yamehakikiwa kutoka baadhi ya maeneo visiwani humo. Kufikia sasa tume
hiyo imetangaza matokeo kutoa majimbo 13 kati ya 54.
Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa tatu asubuhi Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

No comments:
Post a Comment