Sunday, 11 October 2015

DIAMOND ABEBA TUZO TATU AFRIMMA AWARDS JANA JIJINI DALLAS{USA}

Usiku wa Jana Msanii anayeendelea kufanya Vyema,Tanzania na East Africa,Diamond Platnumz amejinyakulia Tuzo tatu kwenye Tuzo za AFRIMMA jijini DALLAS{USA}.
Diamond amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Msanii Bora Africa Mashariki,Best Dance Video,na Msanii bora wa Mwaka....
Kupitia ushindi huo Diamond ameandika Maneno haya kupitia Ukurasa wake wa Facebook....
Dah, I realy don't know What to say 😔...
dha! hata sijui nizungumze nini... 😔
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache😔)
‪#‎BestDanceVideo‬ ‪#‎EastAfricanArtistOfTheYear‬ ‪#‎AfricanArtistOfYear‬ ‪#‎afrimma2015‬

No comments: