Sunday, 11 October 2015

VANESSA MDEE ABEBA TUZO YA MSANII BORA WA KIKE AFRICA MASHARIKI.

Msanii wa Kike anayefanya Vyema kwenye Game ya Muziki toka BONGO,Vanessa Mdee jana alitwaa Tuzo ya Msanii Bora wa kike toka Africa ya Mashariki kupitia tuzo za AFRIMMA AWARDS zilizofanyika jijini Dallas{USA}
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Vanessa aliweza kuwashukuru Fans wake kwa Ushindi huu alioupata.........

Asante Asante Asante Sana 💜 You believed in me. Thank you. Glory to God ‪#‎NeverEver‬ ‪#‎Afrimma2015‬

No comments: