![]() |
| Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali, |
Alisema hayo katika hafla fupi ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo iliyofanyika katika kijiji cha Idetero, wilayani Mufindi, mkoani Iringa, mwishoni mwa wiki.
Alisema kwa muda mrefu abiria wanaosafiri katika barabara kuu wamekuwa wakipata taabu pindi wanapohitaji sehemu za faragha, hivyo kuanzishwa kwa mradi huo itakuwa ni mkombozi mkubwa.
Alisema mradi wa vituo vya mapumziko na vyoo kwa wasafiri katika barabara kuu nchini unakusudia kujenga vituo 44 vya mapumziko kwa wasafiri nchi nzima katika barabara kuu zote nchini.

No comments:
Post a Comment