| John Mnyika |
Kutokana na kurudiwa huko kwa Uchaguzi kumesababisha kuchelewa kutolewa Matokeo ya Jimbo hilo,
Kupitia Mtandao wa Tweeter mmoja wa Wagombea jimboni humo,Bw,John Mnyika{CHADEMA}anathibitisha USHINDI kwake, na hii ni baada ya kumalizika Mahesabu ya KURA zote zilizopigwa na sasa TUME YA UCHAGUZI ndiyo inasubiriwa kwa ajili ya kutangaza MATOKEO.....
UBUNGE: Tuna karatasi za kila kituo halali cha uchaguzi. Hata vilivyofanya uchaguzi jana. Tumeshajumlisha. Tunaongoza. Tunasubiri NEC!
— MNYIKA John John (@jjmnyika) October 27, 2015
No comments:
Post a Comment