Tuesday, 27 October 2015

WEMA SEPETU AJICHANGANYA KWA KUWATUSI VIONGOZI WAKONGWE WA UKAWA.

Wema Sepetu
WEMA SEPETU AAMUA KUWACHAFUA VIONGOZI HAWA KUPITIA INSTAGRAM YAKE
Mwana Dada Mlimbwende wa Bongo Muvi kwa jina Wema Issack Sepetu ametumia akaunti yake ya Instagram kufikisha Ujumbe kwa Watanzania kwa njia ya picha ambayo ina maelezo matatu.


Nisinge penda Kuongeza neno au kupunguza neno katika Posti hiyo Hivyo nimekuwekea hapa Uisome mwenyewe na kuniambia Je hii ni Sawa kwa yeye kuipost hivi au Hakuna Tatizo?


No comments: