Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All Mohamed Shein Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais. FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi ilipotumika
RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Monday, 26 October 2015
KINACHOENDELEA ZANZIBAR,BAADA YA MAALIM SEIF KUJITANGAZIA MATOKEO.
Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All Mohamed Shein Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais. FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi ilipotumika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment