CCM, Chadema ‘wakwepa’ mdahalo wa urais.
Wagombea Urais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Dk John Magufuli,pamoja na Edward Lowassa wa (CHADEMA), wameshindwa kushiriki mdahalo maalum wa wagombea Urais ulioandaliwa na taasisi ya TWAWEZA pamoja na wadau wengine.
Mdahalo huo ambao ulifanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam Jana, Mdahalo huo ulirushwa moja kwa moja na kituo cha Televisheni cha StarTV.
Anna Mghwira kutoka Chama cha ACT wazalendo na Chief Lutasola Yembe wa ADC na mgombea kutoka CHAUMMA, Hashim Rungwe ndiyo wagombea pekee wa Urais walioheshimu mualiko huo rasmi na kushiriki kwenye mdahalo huo.

No comments:
Post a Comment