Sunday, 25 October 2015

Mh,Edward Lowassa naye apiga kura yake huko Monduli


Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

No comments: