Saturday, 10 October 2015

NISHA AJIWEKA KWA BARAKAH DA PRINCE.

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Aliyeibuka kwa Kasi Barakah Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.
Akipiga stori na Gazeti la Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Barakah ni sawa na ‘kumbemenda’ Dogo huyo lakini mwenyewe ameishia kujitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.

“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’ mkaelewana hivyo mimi sioni tatizo kuwa naye na ninampenda hatari,” alisema Nisha.

NB:-

VIDEO:-Nisha na Baraka Da Prince Wakiwa Kitandani


Chanzo: GPL

No comments: