![]() |
Mwishowe refa alimuamuru N'daw arudi kwenye chumba cha kuvalia akakaguliwe |
![]() |
N'daw 'akimtisha' mchezaji wa Prisons aliyemshupalia amevaa hirizi |
![]() |
N'daw akiingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo ili kukaguliwa wakati ambao mchezo ulisimama kwa dakika nne kipindi cha kwanza |
![]() |
Watu 'waso haya' wanapiga chabo madirishani wakati N'daw anakaguliwa chumbani |
![]() |
N'daw anarejea uwanjani baada ya kukaguliwa |
![]() |
Mchezaji wa Prisons aliyedai N'daw ana hirizi akionywa kwa kadi ya njano kabla ya mchezo kuendelea |
No comments:
Post a Comment