Tuesday, 6 October 2015

Rais Uhuru Kenyatta{Kenya}: Azungumzia Uchaguzi wa Tanzania

Rais J.M.Kikwete{Tanzania} na Rais Uhuru Kenyata{Kenya}
Rais Kenyatta wa Kenya, amewaasa Watanzania kuchagua Kiongozi atakayeendeleza yale yaliyofanywa na Serikali inayomaliza muda wake

Rais Uhuru Kenyatta amewaasa watanzania wachague Kiongozi atakayeweza kuendeleza kazi iliyofanywa na Serikali inayomaliza muda wake, kiongozi huyo aweze kuendeleza muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Pia amesema Serikali inayomaliza muda wake imefanya kazi nzuri, imeleta maendeleo hasa ujenzi wa miundombinu.

No comments: