Saturday, 10 October 2015

TAARIFA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU BVR ZILIZOKAMATWA.

Mnamo Tarehe 8th,Oct,2015 Tume ya Uchaguzi{NEC}ilikabidhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa KINONDONI,vifaa vinavyosadikiwa kuwa vinahusihana na Uandikishaji na Uchapaji Vitambulisho vya Wapiga KURA{BVR},
Vifaa vilivyokutwa vikimilikiwa na Kiwanda cha MM INTEGRATED STEEL MILLS cha jijini Dar es salaam,
Na hapo chini tumekuwekea Taarifa ya Uchunguzi iliyofanywa na wataalam wa Tehama toka NEC wakishirikiana wataalam wengine toka MM INT,STEEL MILLS pamoja na Chadema ambao ndiyo walioripoti tukio hilo kwa Ujumla....


No comments: