Ngessakinollo

RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.


Wednesday, 19 November 2014

WEMA AANIKA KISA CHA YEYE KUMMWAGA DIAMOND

Miss{TZ}2006 WEMA.A.SEPETU
MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Wema Sepetu

Akizungumza na Gazeti La Amani katika mahojiano maalum jijini Dar, juzikati, Wema alianza kwa kufunguka kwamba, kuna watu wamekuwa wakizungumzia ishu ya yeye kumtema Diamond huku kisa wakiwa hawakijui na wengine wamehamishia sababu kwa nyota wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’, jambo ambalo si kweli.
Wema alimwaga ‘ubuyu’ kwamba, yeye ameamua kumpa likizo ndefu Diamond ili kila mmoja aweze kufanya mambo yake ya maana kwa uhuru mkubwa hasa baada ya jamaa huyo kunukuliwa na magazeti pendwa akisema hana mpango wa kuoa jambo ambalo lilimkatisha tamaa na kumwacha njia panda
Source-GPL.
Posted by ngessa blogspot at 23:15
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

OUR INSTAGRAM PROFILE

OUR INSTAGRAM PROFILE
CLICK IN TO FOLLOW US ON INSTAGRAM

OUR Whatsapp PROFILE

OUR Whatsapp PROFILE
FOLLOW BY 0714271049

FOLLOW US ON TWITTER

FOLLOW US ON TWITTER
4 LIVE UPDATES

JOIN WITH US ON FACEBOOK

JOIN WITH US ON FACEBOOK
CLICK-IN-TO VIEW OUR PAGE.

RAHA MASTERZ INC

RAHA MASTERZ INC
We're The Best On GRAPHIC DESNING,BROCHURES,BUSSINES CARDS,WEB & BLOG DESNING.

VITU HADIMU{SELECTIVE & EMOTIONAL SONGS}

Sell music on Amazon at ReverbNation.com

KAYSON'S TV

Total Pageviews

ZILIZO MAKE HEADLINE

  • ��LIVE: HARMONIZE Anafunguka KUWASAINI CHEED na KILLY, Aelezea TUKIO la T...
  • PICHA-WEMA NA PENNY WATHIBITISHA KUPATANA KIKWELI.
    BAADA YA KUAMUA KUMALIZA TOFAUTI ZAO TAKRIBAN WIKI MOJA ILIYOPITA,WAREMBO WAWILI WALIOWAHI KUTOKA NA MSANII DIAMOND PLATNUJMZ, WEMA SEPE...
  • VIDEO:-Dr,J.P MAGUFULI AKIPIGA "PUSH-UP" KWENYE KAMPENI MISENYI-KARAGWE{KAGERA...}
    IANGALIE VIDEO HAPO CHINI........ Dr,J.P MAGUFULI AKIPIGA "PUSH-UP" KWENYE KAMPENI MISENYI-KARAG... #VIMBWANGAVYAUCHAGUZIMKUU2...
  • Post Ya Diamond Kuhusu Meda, Msanii Aliyeimba Wimbo Wa Barua Kwa Diamond
    Kwenye Exclusive interview na Meda Msami, alifunguka kuwa anamkubali vilivyo Diamond na kwamba huko kwao Iringa yeye ndiye balozi wa Dia...
  • BRAND NEW SONG BY BRINSLEY FORDE-BABY I LOVE YOU NOW.mp3
  • New Music: Nas – ‘The Season’
    Nas is back. After previewing the song at the Run the Jewels 2 release event in Brooklyn last night, the hip-hop king debuts the studio ...
  • Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yawahukumu Mramba na Yona kwenda jela miaka 3.
    Kushoto Gray Mgonja{Shati la Draft},Daniel Yona{katikati}na Basil Mramba. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela mia...
  • Barakah The Prince - SAWA (Official Music Video|)
  • BRAND NEW SONG BY KIRKO BANGZ-BOUNCE IT {REMIX}
  • Mystro x Wizkid - Immediately (Official Video)
CREATED & DESIGNING WITH RAHA MASTERS GRAPHICS DESIGNERS with DIRECTORY OF KAYSON &{DON PASTOR}. Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.